# Ole wao ambao huvuta udhalimu kwa kamba zisizo na thamani na kuvuta dhambi kana kwamba iliikuwa kwa kamba ya mkokoteni Misemo hii ina maana moja. Inazungumzia watu ambao wanaendelea kufanya dhambi kwa makusudi kana kwamba walikuwa wakitumia nguvu yao kuvuta mkokoteni mzito. Mungu atawaadhibu kwa ajili ya dhambi yao". "Ole wao ambao hufanya kazi kwa bidii kutenda dhambi kama mtu ambaye huvuta mkokoteni kwa kamba" # wale ambao husema Hii ina maana ya wale ambao wanaendelea kutenda dhambi (mstari wa 18) na kisha kwa dhihaka kumpa na Mungu changamoto ya kuwazuia. "wale wadhihaki ambao husema" # acha mipango ya Mtakatifu wa Israeli aje Mipango ya Mungu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa vitu ambavyo vinaweza kuja vyenyewe. "acha Mtakatifu wa Israeli atimize mipango yake" # Mtakatifu wa Israeli Mtakatifu wa Israeli