# Taarifa ya jumla: Hosea anazungumza. # kazi ya mikono yetu "mikono" hii inamaanisha watu wanatengeneza vitu. "kwa sanamu tunazotengeneza" # mtu asiye na baba Hii inaonesha huruma kubwa ya Mungu kwa watu wake. # hupata huruma Hapa kitendo cha Mungu kuonesha huruma kinazungumzwa kama ni kitu ambacho mtu amekipata.