# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # kama simba ... kama chui ... kama dubu ... kama vile mnyama wa mwitu Hawa ni wanyama wa porini ambao huvamia na kuwaua wanyama wengine. # kama dubu aliyenyang'anywa watoto wake "kama dubu ambaye atashambulia mnyama atakayechukua watoto wake" # kama simba "kama simba atakavyowala"