# Taarifa ya jumla: Nabii Hosea anazungumza. # Efraimu hujilisha upepo Wana wa Israeli wanafanya mambo ambayo hayatawasaidia ni sawasawa na kujilisha upepo. # kufuata upepo wa mashariki. Upepo wa mashariki ulikuwa na joto sana na wenye kuharibu. Hii inamaanisha kuwa majeshi kutoka mashariki ambayo Bwana atayatuma kuwaharibu wana wa Israeli. # huchukua mafuta ya Misri Wana wa Israeli walipeleka mafuta kama zawadi kwa mfalme wa Israeli na kumsihi awasaidie. # Bwana pia ana mashtaka dhidi ya Yuda Bwana anasema kwamba watu wa Yuda wamemtenda dhambi na kuvunja agano lake. # dhidi ya Yuda ... ataadhibu Yakobo ... kwa yale aliyoyatenda ... atamlipa kwa matendo yake "Yuda" na "Yakobo" wote wanawakilisha watu wa Yuda. # mashitaka Haya ni malalamiko ya mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine mahakamani.