# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # siku za Gibea Hapa inaelezea matendo ya kushangaza ya kabila la Benyamini katika kitabu cha Waamuzi. # huko umebaki Hii inamaanisha kuwa watu wa wakati huo waliendelea kufanya sawasawa na mababu zao walivyofanya huko Gibea. # Je, vita vitawapata wana wa uovu huko Gibea? Bwana alitumia swali kusisitiza kuwa waliokuwa Gibea wakafanya uovu lazima vita vitawapata. # wana wa uovu "wale wafanyao uovu"