# Mfalme wa Samaria ataangamizwa "Waashuru watamwangamiza mfalme wa Samaria" # kama chipu cha kuni juu ya uso wa maji Hii ina maana kuwa mfalme wa Samaria atakuwa hawezi kitu kama kipande kidpgo cha kuni kinachoelea juu ya maji" # Sehemu za juu za uovu zitaharibiwa "Waashuru wataharibu sehemu za juu za Israeli ambazo watu walifanya uovu" # Watu wataiambia milima, "Tufunike sisi!" na kwa vilima, "Tuangukieni!" "'watu watasema 'tunatamani milima itufunike!' na 'tunatamani vilima vituangukie!'"