# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # Kwa maana watu hupanda upepo na kuvuna kimbunga Kupanda upepo ni kitendo cha kufanya jambo kwa njia zisizofaa. Kuvuna kimbunga ni kuteseka kutokana na matendo ya mtu mwenyewe. # Mbegu zilizosimama hazina vichwa Hapa "kichwa" ni sehemu ya mmea mbayo mbegu zinakuwepo. Mmea ambao hauna kichwa unakuwa hauna chochote cha kumpa mkulima. Matendo ya Waisraeli hayatawapa matokeo mazuri. # Ikiwa itakomaa, wageni watakula. Ikiwa matendo yoyote ya Waisraeli yatasababisha matokeo mazuri basi adui wa Israeli watayachukua.