# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # Gileadi ni jiji ... wenye miguu ya damu "miguu ya damu" inawakilisha watu waovu na vitendo vyao vya uuaji. # makuhani hujiunga pamoja kufanya mauaji kwa njia ya Shekemu Hatufahamu maneno haya yanamaanihs nini Hivyo ni vyema kutafsiri sentensi hii kwa namna ambayo itaeleweka zaidi.