# Sentensi unganishi: Bwana anazungumza na Hosea. # Watu wangu! "Ninyi ni watu wangu" # umeoneshwa huruma. "Bwana amewaonesha huruma" # Huruma "wema" au "rehema"