# tokeo la mwenendo wao "matoke ya # kuiga imani yao Tumaini katika Mungu na njia ya uzima iliyoongozwa na viongozi hawa inaongelewa kama "imani ya kweli' # ni yeye yule yule, leo, na milele "Jana" hapa ina maana muda wote uliopita.