# Pia Kristo, ambaye alitolewa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Pia Kristo, ambaye "aliyejitoa mwenyewe" # kuziondoa dhambi Tendo la kutufanya wasio na hatia badala ya kuwa na hatia kwa ajili ya dhambi zetu kunaongelewa kana kwamba dhambi zetu zilikuwa vyombo ambavyo vinashikika ambavyo Kristo aliweza kuzibeba. # dhambi dhambi inamaanishahatia ambayo watu waliyonayo mbele za Mungukwa sababu ya dhambi walizotenda.