# hivyo hata agano la kwanza halikuanzishwa pasipo damu Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Hivyo Mungu alianzisha hata lile agano la kwanza kwa damu" # agano la kwanza Tafsiri hii kama ulivyotafsiri 8:6 # damu kifo cha wanyama waliotolewa dhabihu kunaongelewa kana kwamba hakukuwa na kitu kingine isipokuwa damu. # alichukua damu... pamojas na maji...na kunyunyiza...gombo... na watu wote Kuhani alichovyawa hissopo katika damu na maji na kisha alikitikisa kijiti cha hissopo na kudondosha damu na maji juu ya magombo na watu.Kunyunyiza damu lilikuwa ni tendo la ishara lililofanywa na makuhani ambalo kwa hilo walipata faida ya agano kwa watu na vyombo. Na hapa upokelewaji wa gombo na watu vinafanywa upya. # hisoppo mmea uliotumika katika ibada ya kunyunyiza # damu ya agano "Damu" hapa linamaanisha kifo cha wanyama waliotolewa dhabihu ili kuftimiza matakwa ya agano.