# nyuma ya pazia la pili pazia la kwanza kulikuwa na ukuta wa nje wa hema, hivyo pazia la pili lilikuwa ni pazia la pili kati ya mahali patakatifu na mahali patakatifu pa patakatifu. # pili Hii ni nambaya kawaida ya namba mbili # ndani yake "Ndani ya sanduku la agano" # Fimbo ya Haruni iliyoota maua Hii ina maanisha wakati Mungu alipoonyesha kwa watu wa Israeli kwamba alikuwa amemchagua Haruni kama kuhani kwa kuichipusha maua fimbo ya Haruni. # kuchipua "kuwa na maua" au "kuchipua" au "ilikuwa na kuendelea" # mbao za agano "Mbao" ni vipande bapa vya mawe vilivyokuwa na maandishi juu yake. Hizi zinamaanisha mbao za mawe ambazo ziliandkwa amri kumi. # makerubi walifunika juu wakati Waisraeli walipokuwa wakitengeneza sanduku la agano, Mungu aliwaamuru Waisraeli kuchonga makerubi wawili wanatazamana pamoja na mbao zao zigusa juu ya kifuniko upatanisho cha sanduku la agano. Hapa vinaongelewa kana kwamba kama vinaweka kivuri kwenye sanduku la agano. # ambao hatuwezi Ingawa mwandishi anatumia kiwakilishi cha wingi "tuna" kimsingi anasema kwa nafsi yake mwenyewe.