# Sentensi Unganishi: Mwandishi anawahakikishia aumini hawa wa Kiyahudi kwamba Kristo na ukuhani ulio bora kwa sababu anaishi milele na makuhani wote waliotoka kwa Haruni walikufa. # dhamana "uhakika" au "ukweli" # kwa hakika au kwa upande mwingine maneno haya yametumika kulinganisha mambo mawili. Lungha yako inaweza kuwa na msisitizo kwamba mwandishi anafanya ulinganifu. # kifo huuhuzuia kutodumu Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: '"mwishowe wanakufa na hawawezi kuendelea" # ana ukuhani udumuo/ haubadiliki kazi ya kikuhani inaongelewa kana kwamba ni chombo ambach Yesu alikimiliki. AT: "yeye ni kuhani asiye badilika"