# wale ambao waliipata nuru uelewa unaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kupatiwa nuru. AT: "wale ambao awali walielewa ujumbe kuhusu Kristo" # ambao walionja kipawa cha mbinguni kuonja wokovu kunaongelewa kana kwamba ni kuoonja chakula. AT: walionja nguvu ya Mungu ya kuokoa" # kufanywa kuwa washirika wa Roho Mtakatifu, Roho Mtakatifu ambaye anakuja kwa waumini, anaongelewa kana kwamba ni chombo ambacho watu wangeweza kushiriki. AT: "waliopoke Roho Mtakatifu" # ambao walionja uzuri wa neno la Mungu Kujifunza neno la Mungu kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kuonja chakula. AT: "waliojifunza neno zuri la Mungu" # nguvu za wakati ujao Hii inamaanisha nguvuza Mungu wakati ufalme wake utakapo kuwa umetimilka duniani kote. kwa mantiki hii "nguvu" ina maanishaMungu mwenyewe, ambaye anamiliki nguvu zote. # kisha wakaanguka kupoteza uaminifu kwa Mungu kunaongelewa kana kwamba anguko la kimwili.AT: "walioacha kuamini katika Mungu" # haiwezekani kuwarejesha tena katika toba "Haiwezekani kuwarejesha tena kwenye toba" # wamemsulubisha Mwana wa Mungu kwa nafsi zao watu wanapoondoka kwa Mungu ni kana kwamba wanamsulubisha tena Yesu. # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo muhimu ambacho kinaelezea uhusiano kwa Mungu.