# Sentensi Unganishi: Mwanadishi anawaonya waumini wasiache kumtii Mungu, bali waiingie katika pumziko ambalo Mungu anawapa. Anawakumbusha kwamba neno la Mungu litawashuhudia na kwamba wanaweza katika maombi kwa ujasiri na kwamba Mungu atawasaidia # kama Yoshua angekuwa amewapa pumziko Amani na ulinzi uliotolewa na Mungu vinaongelwa kana kwamba zilikuwa pumziko la kuwapa, na kana kwamba vilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeweza kwenda. AT: "kama Yoshua angewaleta Wasraeli kwenye sehemu ambayo Mungu angewapa pumziko" # tuwe na shauku Amani na ulinzi uliotolewa na Mungu vinaongelwa kana kwamba zilikuwa pumziko la kuwapa, na kana kwamba vilikuwa ni sehemu ya kuingia. AT: "tunapaswa kufanya kila kitu ili tuingie katika mpumziko mahali alipo" # wataanguka katika aina ya kutotii ambao walifanya kutokutii kunaongelewa kana kwamba ni mtu mzima ambaye angeweza kuanguka katika ajali.