# Katika Mwezi wa saba siku ya ishirini na moja ya mwezi siku ya kwanza ya mwezi- Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya ishirini na moja ni karibu na katikati ya mwezi wa kumi wa kalenda ya kimagharibi. # lilikuja kwa mkono wa Nabii Hagai tazama # Haghai... Zerubabeli...Sheltiel...Yehozadaki tazama