# leta mbao Hii inawakilisha sehemu tu ya kile walitaka kujenga katika Hekalu # asema Bwana wa Majeshi "Haya anayesema Bwana wa Majeshi" au "Ndivyo alivyosema kweli Bwana wa majeshi"