# Taarifa kwa ujumla: Yahwe anaendelea kuwaeleza askari wa Wakaldayo. # upepo utatimua majeshi ya Wakaldayo yanayovamia yanalinganishwa na upepo unaotimua kupitia upande mmoja na kwa haraka unaendelea katika eneo lingine.