# miaka mia moja na kumi "miaka 110" # Efraimu hata kizazi cha tatu "Watoto na wajukuu wa Efraimu" # Makiri Hili ni jina la mjukuu wa Yusufu" # waliowekwa katika magoti ya Yusufu Msemo huu una maana ya kwamba Yusufu alitwaa watoto hawa wa Makiri kama watoto wake. Hii ina maana wangekuwa na haki ya urithi maalumu kutoka kwa Yusufu.