# Zabuloni atakaa Hii ina maana ya uzao wa Zabuloni. # Atakuwa bandari Hapa "atakuwa" ina maana ya miji ya baharini ambayo watu wa Zabuloni wataishi au kujenga. Miji hii itatoa hifadhi kwa meli. # bandari sehemu ya bahari ambayo ipo karibu na nchi na ipo salama kwa ajili ya meli.