# Maelezo ya Jumla: Hii inaanza baraka za mwisho za Yakobo kwa wanawe. Hii inaendelea hadi 49:27. Baraka za Yakobo zinaandikwa kwa namna ya shairi. # Kusanyikeni ninyi wenyewe na msikilize, enyi wana wa Yakobo. Msikilizeni Israeli, baba yenu Sentensi mbili zinasema jambo moja kuweka msisitizo. "Njooni na msikilize kwa makini baba yenu" # wana wa Yakobo. Msikilizeni Israeli, baba yenu. Yakobo anajitambua katika lugha ya mtu wa utatu. Inaweza kusemwa katika lugha ya mtu wa kwanza. "wanangu. Nisikilizeni, baba yenu"