# Hushimu ... Yahzeeli, Guni, Yezeri ... Shilemi Haya ni majina ya wanamume. # Bilha Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Raheli. # wote walikuwa saba Hii ina maana ya wana 7 na wajukuu waliokuwa wamehusiana na Bilha.