# Zifioni ... Hagi, Shuni ... Ezboni, Eri, Arodi ... Areli ... Imna ... Ishva, Ishvi ... Beria ... Heberi ... Malkieli Haya ni majina ya wanamume. # Sera Hili ni jina la mwanamke # Zilpa Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Lea. # Wana hawa aliomzalia Yakobo - kumi na sita kwa ujumla Hii ina maana ya watoto 16, wajukuu, na watukuu ambao walikuwa na uhusiano na Zilpa.