# Eri, Onani, Shela Hawa walikuwa wana wa Yuda kwa mke wake, Shua. # Shela na Zera Hawa walikuwa wana wa Yuda kwa mkwe wake, Tamari. # Hezroni ... Hamuli ... Tola, Puva, Lobu ... Shimroni ... Seredi, Eloni ... Yahleeli Haya ni majina ya wanamume. # Dina Hili ni jina la binti wa Lea. # Wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu watatu - Hapa "wanawe" na "mabinti" ina maana ya wana wa Yakobo, mabinti , na wajukuu wenye uhusuiano na Lea. "Kwa pamoja alikuwa na watoto 33, mabinti na wajukuu"