# kulishusha gunia lake chini "akateremsha gunia lake" # mkubwa ... kwa mdogo wa wote Neno "ndugu" linaeleweka. "ndugu mkubwa ... ndugu mdogo wa wote" # mdogo wa wote, na kikombe kikaonekana katika gunia la Benyamini Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya na katika hali ya kutenda. "mdogo wa wote. Mtunzaji alikuta kikombe ndani ya gunia la Benyamini" # Wakararua mavazi yao Neno "wakararua" ina maana ya wale ndugu. Kurarua nguo ilikuwa ishara ya dhiki na majonzi makubwa. # nao wakarudi "na wakarudi"