# Maelezo ya Jumla Yusufu anaendelea kumshauri Farao. # Na wakusanye "Waruhusu wageni kukusanya" # cha hii miaka myema ijayo Hii inazungumzia miaka kana kwamba ni kitu kinachosafiri na kufikia mahali. "katika miaka mizuri ambayo hivi karibuni itatokea" # kuitunza nafaka chini ya mamlaka ya Farao Msemo "chini ya mamlaka ya Farao" ina maana ya Farao kuwapa mamlaka. "tumia mamlaka ya Farao kutunza nafaka" # Wakiifadhi Hifadhi nafaka kwa muda wakati ambao kuna chakula kidogo. "Wasimamizi wanatakiwa kuwaacha walinzi pale kulinda nafaka" # Chakula kitakuwa akiba ya nchi Hapa "nchi" ina maana ya watu. "Chakula hiki kitakuwa kwa ajili ya watu" # Kwa njia hii nchi haitaaribiwa na njaa Hapa "nchi" ina maana ya watu. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Kwa njia hii watu hawatashinda njaa kipindi cha njaa"