# Tazama, ng'ombe wengine saba Farao anatumia neno "tazama" kumfanya Yusufu kuvuta nadhari kwa habari ya kushangaza. # wabaya, na wembamba "dhaifu, na wembamba" # wabaya kama hao Nomino inayojitegemea ya "kutotamanika" inaweza kutafsiriwa kwa kivumishi. "ng'ombe wabaya sana" au "ng'ombe wasiofaa kabisa" # ng'ombe wanene "ng'ombe waliolishwa vizuri" # haikujulikana kama walikuwa wamewala Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "hakuna aliyeweza kutambua ya kwamba ng'ombe wembamba waliwameza ng'ombe wanene"