# Ikawa Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. # tazama Neno "tazama" hapa linatuamsha kuvuta nadhari kwa habari ya kushangaza inayofuata. # Umetokaje Hii inaonyesha mshangao wa mkunga kuona mtoto wa pili akitoka kwanza. "Kwa hiyo hivi ndivyo unavyojitokeza kwanza!" au "Umejitokeza nje kwanza!" # akaitwa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "akamuita" # Peresi Hili ni jina la mtoto wa kiume. "Jina la Peresi lina maana ya "kuvunja nje". # Zera Hili ni jina la mtoto wa kiume. "Jina la Zera lina maana ya "kitambaa cha rangi nyekundu".