# Mwadulami "Adulami" ni jina la kijiji ambapo Hiramu aliishi. # watu wa sehemu "baadhi ya wanamume ambao waliishi pale" # kahaba wa kidini "kahaba aliyetumika katika hekalu" # Enaimu Hili ni jina la mahali. # tusije tukaaibika Watu wangekuja kugundua kilichotokea wangemkejeli Yuda na kumcheka. Hii inaweza kuwekwa wazi na kusemwa katika hali ya kutenda. "la sivyo watu watatucheka wakigundua kilichotokea"