# Ikawa Msemo huu unatumika hapa kuweka alama juu ya tukio muhimu la simulizi. # walimvua vazi lake zuri "walichana joho lake zuri kutoka kwake" # vazi lake zuri "joho zuri"