# Mtu mmoja akamwona Yusufu. Tazama, Yusufu alikuwa akizunguka kondeni "Mtu mmoja akamkuta Yusufu akizunguka kondeni" # Tazama Hii inaweka alama mwanzo wa tukio jingine katika simulizi kuu. Inaweza kuhusisha watu tofauti kuliko matukio ya nyuma. # Unatafuta nini? "Ni nini unatafuta" # Tafadhari, niambie, wapi "Tafadhali niambie wapi" # wananalichunga kundi "wakichunga kundi" # Dothani Hili ni jina la mahali ambalo lipo kama kilomita 22 kutoka Shekemu.