# Yakobo alipokuja kutoka Padani Aramu Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba walikuwa Betheli. "Baada ya Yakobo kuondoka Padani Aramu, na wakati alipokuwa Betheli" # kumbariki Hapa "kubariki" ina maana ya kutamka baraka maalumu juu ya mtu na kusababisha mambo mazuri kutokea juu ya mtu huyo. # lakini jina lako halitakuwa Yakobo tena Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "lakini jina lako halitakuwa Yakobo tena"