# nguzo Hii ina maana ya kwamba jiwe kubwa liliwekwa mwishoni pake kuweka alama ya sehemu ambapo tukio hili la muhimu lilitokea. # kufanya rundo "kuzipangilia juu ya nyenzake" # Kisha wakala pale kati ya lile rundo Kula chakula pamoja ilikuwa sehemu ya kufanya agano baina yao. Maana kamili ya hii inaweza kuwekwa wazi. # Yega Saha Dutha "Jina la Yega Saha Dutha lina maana ya "fungu la mashahidi" kwa lugha ya Labani. # Galedi "Jina la Galedi lina maana ya "fungu la mashahidi" kwa lugha ya Yakobo.