# Labani alipokuwa amekwenda kuwakata manyoya kondoo wake "Wakati Labani alipoondoka kukata manyoya ya kondoo" # mto Hii ina maana ya mto wa Frati. # akaenda kuelekea "kusafiri kuelekea" # vilima ya Gileadi "milima ya Gileadi" au "Mlima Gileadi"