# Yakobo akafanya hivyo, na akatimiza juma la Lea "Na Yakobo akafanya alichosema Labani, na akamaliza kusherehekea wiki ya harusi ya Lea" # Bilha Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Raheli. # Yakobo akalala na Raheli Hii ni njia ya ustarabu ya kusema kuwa walikutana kimwili. "Yakobo akamuoa Raheli" # akampenda Raheli Hii inamaanisha upendo wa kimahaba kati ya mwanamme na mwanamke.