# nguzo Hii ni nguzo ya kumbukumbu, yaani, jiwe kubwa au jabali lililowekwa mwishoni pake. # kumimina mafuta juu yake Tendo hili linaashiria ya kwamba Yakobo anaweka wakfu nguzo kwa Mungu. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "alimwaga mafuta juu yake ili kuiweka wakfu nguzo kwa Mungu" # Betheli Watafsiri wanaweza kuongeza maandishi mafupi yanayosema "Jina la Betheli lina maana 'nyumba ya Mungu." # Luzu Hili ni jina la mji.