# Padani Aramu Hili lilikuwa jina lingine kwa ajili ya eneo la Mesopotamia, ambalo lipo eneo sawa na Iraq ya sasa. # Bethueli Bethueli alikwa baba wa Rebeka.