# akamwendea "akaenda kwa Isaka" # Ahuzathi Hili ni jina la mwanamume. # rafiki yake Maana zaweza kuwa 1) "rafiki yake Abimeleki" au 2) "mshauri wa Abimeleki" # Fikoli Hili ni jina la mwanamume.