# pango la Makipela, katika shamba la Efroni Efroni alimiliki shamba Makpela na pango ambalo lilikuwa ndani ya hilo shamba. Abrahamu alinunua shamba lile kutoka kwa Efroni. # Makpela Makpela lilikuwa jina la eneo au sehemu. # Efroni ... Soari Haya ni majina ya wanamume. # lililokuwa karibu na Mamre Makpela ilikuwa karibu na Mamre. # Mamre Hii ilikuwa jina jingine kwa mji wa Hebroni. Inawezekana iliitwa baada ya Mamre, rafiki yake Abrahamu aliyeishi pale" # Shamba hili Abrahamu alilinunua "Abrahamu alinunua shamba hili" # watoto wa Hethi Hapa "wana" ina maana ya wale amabo wametoka kwa Hethi. "uzao wa Hethi" # Abrahamu akazikwa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Walimzika Abrahamu" # mwanae "Mwana wa Abrahamu" # Beerlalahairoi Jina hili lina maana ya "kisima cha yule aliye hai anionaye mimi"