# akamchukua Rebeka, na akawa mke wake Misemo hii miwili ina maana ya kwamba Isaka alimuoa Rebeka. "na akamuoa Rebeka" au "na akamchukua kama mke wake" # Kwa hiyo Isaka akafarijika Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Kwa hiyo Rebeka alimfariji Isaka"