# Taarifa ya Jumla: Mtumishi wa Abrahamu anaendelea kuzungumza kwa familia ya Rebeka. # kisima "kisima" # niko hapa nimesimama karibu na kisima cha maji Mtumishi alikatisha kile alichokuwa akimuuliza Mungu kwa kuvuta nadhari ya Mungu kwa pale alipokuwa amesimama. # na iwe kwamba binti ajaye ... nitakayemwambia ... mwanamke atakayeniambia Mtumishi alirudia kueleza ombi lake, na alikuwa na mambo matatu kusema juu ya mwanamke ambayo alitumaini yangekuja. # kuchota maji "kuchukua maji" # mtungi chombo cha ukubwa wa kati kilichoundwa na udongo kinachotumika kubeba na kumwaga vimiminikio. # awe ndiye mwanamke Mtumishi alikamilisha ombi lake.