# na akaondoka. Akachukua pia Sentensi inayoanza na "Akachukua pia" inatupa taarifa ya nyongeza kuhusu nini mtumishi alichukua katika safari. Alivikusanya kabla ya kuondoka. # Akachukua pia aina zote za zawadi kutoka kwa bwana wake Hii ina maana alichukua pia vitu vingi ambavyo bwana wake alitaka akawapatie familia ya mwanamke. # Akaondoka na kwenda "akajiandaa na kuondoka" au "aliondoka na kwenda" # mji wa Nahori Maana zaweza kuwa 1) "mji ambapo Nahori aliishi" au 2) "mji ulioitwa Nahori". # Akawapigisha magoti ngamia Ngamia ni wanyama warefu wenye miguu mirefu. Aliwafanya wainamishe miguu yao na kushusha miili yao ardhini. "Aliwafanya ngamia kulala chini" # kisima cha maji "kisima cha maji" au "kisima" # kuchota maji "kufuata maji"