# kwa habari ya Sarai Maneno "kwa habari ya" zinatambulisha mtu anayefuata ambaye Mungu anamzungumzia. # nitakupatia mtoto wa kiume kwake "Nitamfanya azae mtoto kupitia kwake" # atakuwa mama wa mataifa "atakuwa mama wa mataifa mengi" au "uzao wake watakuwa mataifa" # Wafalme wa watu wa mataifa watapatikana kutokana na yeye "Wafalme wa watu watatokana kwake" au "Baadhi ya uzao wake watakuwa wafalme wa watu"