# wakajitwalia wake "akaoa wake" # Iska hili ni jina la kike # Sasa Neno hili linatumiwa kutambulisha habari mpya kuhusu Sarai ambayo itakuwa muhimu baadae katika sura. # tasa Lugha hii inaelezea mwanamke ambaye kimwili hawezi kutunga mimba au kuzaa mtoto.