# Taarifa ya Jumla: Kumbukumbu katika Mwanzo 11:12-25 zilikuwa na mfumo huo huo. # Abramu, Nahori, na Harani Hatujui mpangilio wa kuzaliwa kwa watoto wake.