# Arfaksadi Arfaksadi alikuwa mmoja wa wana wa Shemu. # Pelegi Jina Pelegi lina maana ya "mgawanyiko" # nchi iligawanyika Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "watu wa duniani walijigawa wenyewe" au "watu wa duniani waligawanyika kati yao" au "Mungu aligawanya watu wa duniani"