# Maelezo ya Jumla Mistari ya 18-19 inatambulisha wana watatu wa Nuhu, ambao watakuwa sehemu muhimu katika simulizi ifuatayo. # baba Hamu alikuwa baba wa Kaanani wa halisi.