# Taarifa ya Jumla: Mungu anaendelea kuzungumza na Nuhu pamoja na watoto wake. # uhai ... damu "Damu ni alama ya uhai". "Mungu alikuwa akiwaamuru watu wasile nyama ambayo bado ina damu ndani yake. Walipaswa kutoa kwanza damu"