# ikatulia "ikatua" au "ikasimama juu ya ardhi ngumu" # katika mwezi wa saba, siku ya kumi na saba ya ... mwezi wa kumi Kwa sababu Musa aliandika kitabu hiki, inawezekana ana maana ya mwezi wa saba na mwezi wa kumu kwa kalenda ya Kihebrania, lakini hii haipo wazi. # Katika siku ya kwanza ya mwezi "Katika siku ya kwanza ya mwezi wa kumi" # vikaonekana Hii inaweza kuwekwa wazi: "ikaonekana juu ya uso wa maji"